Scandinavia
Wilaya ya Misheni / Mission District
Karibu kwenye Mkutano wa Kwanza wa Mwaka wa Wilaya ya Misheni ya Skandinavia
Welcome to the First Scandinavia Mission District Annual Meeting
Ajenda
13:00 – 17:00 — Uratibu wa Mkutano wa Mwaka
• Kufungua mkutano – Karibu
• Ibada (wimbo 1 au 2)
• Mafundisho – Uratibu wa Mkutano wa Mwaka – Mch. Josué
• Mapumziko (dakika 20)- Wajumbe wa Mkutano kuketi
- Uthibitisho wa katibu
- Orodha ya mahudhurio (Wachungaji na wajumbe)
- Uchaguzi wa wasimamizi wa kura (watu wawili)
- Kanuni za Ndani
- Kuendelea kwa Wagombea wa Huduma ya Wilaya (CMC)
- Uwasilishaji wa ripoti:
- Hali ya Wilaya ya Misheni
- Mweka Hazina (hali ya kifedha)
- Mapitio na uidhinishaji wa ripoti ya kifedha
- Bajeti ya 2026
- Kamati au huduma nyingine
- MEGA
- Vijana
- Seminari
- Misheni
- Mengineyo
- Uteuzi wa wachungaji
- Uidhinishaji wa kumbukumbu
- Kufung
Agenda
13:00h – 17:00h — Organization of the Annual Assembly
Opening of the meeting – Welcome
Opening of the meeting – Welcome
- Worship
- Reflection – Organization of the Annual Assembly – Pr. Josué
- Break (20 min)
- Assembly members take their seats
- Confirmation of the secretary (Minutes in French and English
- Roll call (Pastors and delegates)
- Pastor for each meeting place
- Same number of Lay Leaders (delegate)
- Selection of scrutineers (two people)
- Internal Regulations
- Continuation of District Ministerial Candidates (CMC)
- Presentation of reports:
- State of the Mission District
- Treasurer (financial status)
- Review and approval of the financial report
- 2026-2027 Budget
- Other committees or ministries
- Miscellaneous
- Pastoral appointments
- Approval of minutes
- Closing

